Mazoezi TSE

Katika sehemu hii kuna video za mimi ninapofundisha wanafunzi wangu TSE, Muziki, kupiga vyombo na kucheza.

Wahapahapa dansi - Mazoezi na barabara za bongo

Hii ni video ya mazoezi ya vijana ambao nawafundisha TSE. Mchezo huo wa viti nimebuni mimi kutokana na meseji ya nyimbo inavyoimbwa na mtunzi wa nyimbo Paulo Ndunguru.

Mazoezi ya muziki

Ngoma za asili - Vijana wa TSE